mchizimagazine

Kapnea - Bila Presha (Official Video)

A+ A-


Kapnea - Bila Presha (Official Video)

Written & Performed by: Kapnea
Produced by : Ondiko
Directed by : Neo Manuel

Bila Presha Lyrics

CHORUS

Biila nuksi bila pressure
Kiustarabu no kuteta
Mitaani leo sionekani
Nachificha kama moyo
na siri kali
Kwanza drink,check
Msupa,check
Alafu kuusu mziki tuna skiza tu 
the best soongs,
Check msupa check,
Mziki tu kwa mbal tunaskiza tu 
the best songs

      

                   VERSE 1


Piga sim kwa rafiki zako leo wambie
Hupatikani leo wajipangee wasisubirie
Waelewe twaenda kwa mipango
Boxer itastiri vipi mpaka mgongo
Cha kaisare mpe bwana kaisaree
Wasio na share wambie tu wasaree
Nataka daily ufurai ovyo
Chkua glass nenda ukaweke wynne toto
Worry not yoh
Safari postpond
Unapenda fish, utavua kuna fish pond
Yeah,siku yetu leo
Usieke chumvyi kwenye chai 
utaleta miseo
Weka mziki kata kama dem kwa video
Nikiunda msosi tule raha 
Za kimambo leo                        CHORUS

Biila nuksi bila pressure
Kiustarabu no kuteta
Mitaani leo sionekani
Nachificha kama moyo 
na sirikali
Kwanza drink,check
Msupa,check
Alafu kuusu mziki tuna skiza tu 
the best soongs,
Check msupa check,
Mziki tu kwa mbal tunaskiza tu 
the best songs                   VERSE 2


Girl they been messing with you
N i know that
You need a real man and 
i can be all that
Hold up,baby do the yoga
Am gonna make you feel young 
even when you get older
Nataka twende sambamba
Nikugande nganganga
Wakiulizia shamba
Wambie fama nshapanda
Wambie wama nshapanda
Turn up,turn up, turn up turn,
Turn up,turn up the music
Turn up the music
Ukule tunywe tukicheza msiki 
Turn up the music,
Turn up the music
Tukishaleewa honey
Drunk drivers si tugongane
Macgiver sikosi plane
Uko high level acha 
namii nipande                                   CHORUS

Biila nuksi bila pressure
Kiustarabu no kuteta
Mitaani leo sionekani
Nachificha kama moyo 
na siri kali
Kwanza drink,check
Msupa,check
Alafu kuusu mziki tuna skiza tu 
the best soongs,
Check msupa check,
Mziki tu kwa mbal tunaskiza tu 
the best songs

Post a Comment

emo-but-icon

Hot in week

Recent

sports

Comments

ADVERTISE

Thank your for Reading & downloadig @ Mzuka Magazine to add your adverts or to advertise here just contact us info.celebu@gmail.com

Contact Us

Name

Email *

Message *

item