Header Ads

AUDIO | Roy - Ndoto (Morogoro)

AUDIO | Roy - Ndoto (Morogoro)
Click the button to Download this new song for free below on Celebu.

Celebu is Africa Number One Website that give you all trending Entertainment News, New Audio and New Video, New Movies, and Many more.

Wimbo wa Maombolezo kuhusiana na ajali ya Mlipuko wa moto uliotokea baada ya kudondoka kwa gari la mafuta maeneo ya Msamvu, Morogoro na kusababisha vifo vya raia wengi. Tunaungana na watanzania wote kuomboleza na kuwaombea majeruhi kupona kwa haraka. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe.

Wimbo umeimbwa na ROY huku ukitayarishwa na Prod Steve Maker  | Stopper Record     

No comments: